Kiongozi wa upinzani wa Venezuela, Edmundo Gonzalez, ambaye anadai alishinda uchaguzi wa mwaka jana dhidi ya rais wa sasa Nicolas Maduro, Jumatatu amekutana na rais wa Marekani Joe Biden.
Rais wa Marekani Joe Biden na mke wake Jill Biden Jumatatu walizuru New Orleans ili kuomboleza na familia za watu 14 waliouwawa na wengine 35 kujeruhiwa baada ya mtu aliyekuwa akiendesha gari la kukodisha kuwagonga
Waziri mkuu wa Canada Justin Trudeau Jumatatu ametangaza anajiuzulu kwenye wadhifa wake, akisema ataondoka madarakani mara tu chama chake kitakapomchagua kiongozi mpya.
Dhoruba ya theluji, barafu, upepo na kushuka kwa viwango vya hali ya hewa nchini Marekani kumesababisha hali ya hatari.
Makamu wa rais wa zamani wa Ecuador Jorge Glas, ameondolewa kutoka gerezani baada ya jaribio kwa maisha yake, wakili wake Sonia Gabriela Vera, amesema Jumapili, wakati akiilaumu serikali kwa hali hiyo.
Hali hatari sana ya hewa ya baridi Jumapili imekumba eneo kubwa la kati kati mwa Marekani, huku dhoruba kali ikielekea upande wa mashariki, na kusababisha usumbufu kwa usafiri na kazi kutoka Kansas City hadi Washington DC.
Hati ya kumkamata Yoon kwa misingi ya kufanya uasi inatarajiwa muda wake kumalizika usiku wa manane siku ya Jumatatu.
Wadhifa wa Sarkozy umegubikwa na matatizo ya kisheria tangu aliposhindwa uchaguzi wa rais mwaka 2012.
Wapigana wa Wagner wamekuwepo nchini Mali tangu jeshi lilipokamata madaraka katika mapinduzi ya mwaka 2020 na 2021
Meloni alionekana mshirika mwenye nguvu kwa Trump kutokana na yeye kuwa M-conservative na mrengo wa kulia huko Italy.
Mwanadiplomasia wa Syria na afisa wa Qatar wameithibitisha AFP imefanya mkutano na waziri wa muda wa mambo ya nje wa Syria
Pandisha zaidi