Radio
16:30 - 16:59
19:30 - 19:59
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan atangaza nia ya kufanyika kwa marekebisho ya kikatiba pamoja na kuruhusu tena mikutano ya kisiasa.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29
Namna Biden atakavyotekeleza ajenda zake baada ya chama cha Republican kuchukua udhibithi wa baraza la wawakilishi.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.