Radio
19:30 - 19:59
Mamlaka ya usafiri wa anga Marekani imeanza kurejesha shughuli za kawaida za usafiri wa anga baada ya hitilafu kwenye mifumo ya kompyuta
Mamlaka hiyo ya usafiri wa anga Marekani (FAA) ilisema inafuatilia chanzo cha tatizo hilo na waziri wa uchukuzi Pete Buttigieg alieleza suala hilo linafuatiliwa kwa karibu. Huku Rais Joe Biden akiiagiza wizara ya uchukuzi kuripoti moja kwa moja kwake kuhusu hitilafu hiyo iliyotokea