Radio
16:30 - 16:59
Taasisi ya Space Child nchini Kenya inawaongoza watoto na vijana 158 kuwapatia uwezo bora kupitia stadi za maisha
Mkurugenzi katika Spice Child, Chrispine Okelo anasema lengo hasa hasa ni kuwawezesha vijana kuendana na mabadiliko ya kimazingira, kupata stadi muhimu za maisha na kukuza vipaji walivyonavyo pamoja na kuepukana na uovu unaoibuka miongoni mwa jamii wanazoishi kama vile uraibu
21:00 - 21:29
Russia inaonekana kujiandaa kwa vita vya muda mrefu Ukraine, Jeshi la Somalia limekomboa miji kadhaa kutoka kwa al-shabaab
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.