Radio
16:30 - 17:00
Uganda: Idadi ya watoto wanaomaliza msomo katika shule ya msingi imeshuka hadi asilimia 34
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
19:30 - 20:29
Mjadala wa Live Talk kususu tawimu za vifo vya watoto kote ulimwenguni kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na shirika la watoto la UN .
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.