Radio
19:30 - 19:59
Kiongozi wa kanisa Katoliki Papa Francis amewasili Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo kwa ziara ya siku nne kabla ya kuelekea Sudan Kusini
Papa Francis atakutana na waathirika wa mapigano yanayoendelea huko mashariki mwa Congo ikiwemo wanawake waliobakwa na pia atakutana na vijana wa dini tofauti katika uhamasishaji wa kuleta amani huko Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC)
21:00 - 21:29
Maafisa wa ngazi ya juu kutoka EAC wafanya kikao mjini Kisumu, Kenya, ili kutadhmini miradi ya maendeleo inayohusu mataifa wanachama.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.