Radio
16:30 - 17:00
Mahakama Kenya: Hakuna kugawana mali 50-50 ndoa inapoharibika. kila mmoja anachukua mali aliyotafuta kwa jasho lake
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
19:30 - 20:29
Mjadala wa Live Talk kuhusu usalama wa chakula katika bara la Afrika, pamoja na yaliojiri kwenye mkutano kuhusu hilo mjini Dakar, Senegal.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.