Radio
16:30 - 16:59
Taasisi za mikopo Uganda zashinikiza uwezeshwaji ili kutoa mikopo zaidi kwa vijana
Taasisi za mikopo midogo Uganda na makampuni ya kukopesha fedha yanashinikiza kutambuliwa kama benki ndogo, ambazo wanasema zitasaidia kuleta taswira ya uaminifu miongoni mwa wateja, na kuongeza uwezo wa kutoa ufadhili, ya vijana, wanaotafuta msaada wa kifedha ili kuanzisha bishara zao.
19:30 - 20:29
Papa Francis amekamilisha ziara yake huko DRC na sasa ameshawasili nchi ya Sudan Kusini kwa ziara nyingine
Papa Francis amelisihi taifa la DRC kujenga amani huku akiwataka vijana kupendana kwa maslahi ya taifa lao. Mtazamo kama huo unabashiriwa kujitokeza Sudan Kusini katika nchi yenye utajiri wa mafuta ambayo pia inapitia mapigano
21:00 - 21:29
Maoni ya waandishi wa habari kuhusu ziara ya papa Francis, vita vya Somalia, mjadala wa ulipaji ushuru Kenya na vita vya Ukraine
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.