Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres anasema nchi nyingi za Afrika zimenyimwa ahueni ya madeni wanayohitaji sana na ufadhili wa masharti nafuu.