Radio
16:30 - 16:59
Vijana kutoka Tanzania na Kenya wanatoa maoni mseto kuhusu ziara ya Rais wa Ujerumani nchini Tanzania na Mfalme Charles wa tatu nchini Kenya
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
19:30 - 19:59
Kundi la kwanza la raia wa kigeni waliokwama Gaza kufuatia vita kati ya Israel na wapiganaji wa Hamas wameanza kuondoka leo kuelekea Misri
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.