Radio
16:30 - 16:59
Tanzania na Indonesia zinaboresha uhusiano wa nchi hizo mbili ukiwalenga hasa vijana katika uongozi wa kizazi kipya chenye mawazo mapya
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
19:30 - 19:59
Kundi la M23 linalopigana na wanajeshi wa DRC linadai kuwakamata wanajeshi wa Burundi likiwatuhumu kuwasaidia DRC kinyume na makubaliano
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.