Radio
19:30 - 19:59
Maandamano ya kupinga mikataba ya bandari Tanzania yakosa kufanyika baada ya polisi kuwakamata walioyapanga
Wasomi na wanasiasa wameitaka Serikali kusikiliza maoni ya Watanzania ambao hawajaridhishwa na maamuzi ya serikali ya uwekezaji wa bandari ya Dar es Salaam ili kupunguza migongano ya kisiasa inayoendelea.