Radio
19:30 - 19:59
Wanasheria na wanaharakati nchini Uganda wanataka mswaada wa ugavi na mafuta ya petrol uliopitishwa na bunge nchini humo ubatilishwe
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.