Radio
19:30 - 20:29
Live Talk kuhusu siku ya Ukimwi Duniani, kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa ni "Acha Jamii iongoze."
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29
Mkutano wa COP28 unaoendelea Dubai, UAE wawakutanisha watalaam wa mazingira na hali ya hewa kubuni masuluhisho ya nishati mbadala.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.