Radio
19:30 - 20:00
Takriban watu 20 wadaiwa kuuwawa na kundi la waasi la RED-Tabara nchini Burundi.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.