Radio
19:30 - 20:29
Wakongomani wasubiri matokeo ya uchaguzi mkuu
Wapiga kura katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wanasubiri matokeo ya uchaguzi mkuu, baada ya zoezi hilo kuongezewa muda, wa siku moja, ambao haukutarajiwa, na ambao uliwafanya baadhi ya wagombea wa upinzani kulalamika, wakidai kwamba hiyo ilikuwa ni njama ya kuiba kura.