Radio
19:30 - 20:00
Uganda imelaani uwamuzi wa Marekani kuongeza marufuku ya usafiri dhidi ya baadhi ya maafisa wa wanaochukuliwa wanahujumu demokrasia
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.