Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.
Wanawake wenye ulemavu Tanzania wamelalamikia miundombinu katika vituo vya kutoa huduma za afya
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.