Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametoa Shilingi Bilioni 1.2 kwa makundi ya vijana wanaoishi katika mitaa ya mabanda.
Tume huru ya uchaguzi DRC yaanza kuhesabu kura kote
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.