Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.
Wanasheria Tanzania waitaka serikali kuvilinda vyombo vinavyosimamia utunzaji mazingira dhidi ya matamko ya wanasiasa