Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Shamrashamra za Krisimasi zasheheni Afrika MasharikiVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
Waumini wa dini ya Kikristo waadhimisha Krisimasi kote duniani
Sherehe za Krismasi zafutwa Betlehemu huku Papa Francis akitoa wito wa amani kati ya Isaeli na Hamas