Radio
19:30 - 20:00
Wakazi wa Sydney Australia, na Auckland, New Zealand, ni miongoni mwa watu wa kwanza kuukaribisha mwaka mpya.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.