Baada ya vuta nikuvute ya wiki kadhaa, hatimaye araza la Wawakilishi la Marekani Jumatano lilipitisha mswada wa kuongeza muda wa serikali kukopa.
Mwendesha mashitaka akijaribu kurejesha uhusiano kati ya mahakama hiyo na DRC lakini wanawake wa DRC waeleza masikitiko yao kutokana na utendaji wa mahakama hiyo
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.