Radio
16:30 - 16:59
19:30 - 19:59
Ulimwengu waadhimisha siku ya mazingira, wakati tatizo la uchafuzi wa plastiki likiongoza kwenye ajenda
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.