Radio
06:00 - 06:30
16:30 - 16:59
Mchambuzi: Wapenzi wa jinsia moja wanaoishi na HIV Uganda wataendelea kuteseka
Rais Museveni alipitisha mswaada wenye adhabu kali dhidi ya watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja kuwa sheria ya ushoga ya mwaka 2023, baada ya kufanyiwa marekebisho. Wachambuzi: wanasema wapenzi wa jinsia moja wanaoishi na HIV wataendelea kuteseka
19:30 - 19:59
Mwendesha mashtaka mkuu wa ICC, Karim Khan amewasili DRC ambako amekutana na waathirika wa mapigano yanayoendelea mashariki mwa nchi hiyo
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.