Pande zinazopingana Sudan kurejea kwenye mazungumzo Jumapili huku mashambulizi ya anga na mapigano makali yakiendelea usiku kucha kuzunguka Khartoum licha ya makubaliano ya kuwalinda raia.