Radio
19:30 - 19:59
Wakaazi wa eneo la Kivu Kusini huko DRC wanalalamika kusambaa kwa harufu mbaya kufuatia kuharibika kwa miili ya watu waliokumbwa na mafuriko
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29
Viongozi wa nchi za kiarabu wanakutana Ijumaa kwa mkutano utakaomkaribisha tena Rais wa Syria Bashar al Assad baada ya kutengwa miaka 12
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.