Radio
16:30 - 16:59
19:30 - 20:00
Umoja wa Mataifa umeomba dola bilioni tatu kwa ajili ya kuwasaidia watu walioathiriwa na mgogoro ambao uliibuka mwezi uliopita nchini Sudan
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.