Radio
19:30 - 19:59
Mrundikano wa kodi zinazotozwa na mamlaka ya mapato Tanzania dhidi ya wafanyabiashara wa soko la Kariakoo ni sababu za mgomo wa leo
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29
Waziri mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa awataka wafanyabiashara wa soko la Kariako, kusitisha mgomo wakati mazungumzo yanaendelea.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.
Presenter: