Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Wanafunzi wa udaktari waliohitimu mafunzo ya awali waliokamatwa kwa kuandaa maandamano ya nchi nzima Uganda wapata dhamana
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Ujio wa waziri mkuu Kasimu Majaliwa hapo Jana katika soko la Kariakoo uliokuwa na lengo la kumaliza mgomo wa wafanyabiashara bado haujaleta ufumbuzi