Radio
16:30 - 17:00
Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje Tanzania, Membe, afariki
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo.
19:30 - 20:29
Je, Jumuiya ya Afrika mashariki imeshindwa kusuluhisha mgogoro wa DRC ndipo Rais Tshisekedi atafute msaada wa SADEC?
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:30