Radio
16:30 - 16:59
Vijana wanahitaji kuhamasishwa kuhusu athari za matumizi kupita kiasi ya mitandao ya kijamii
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
19:30 - 19:59
Baraza la Seneti nchini Rwanda lapitisha muswada wa sheria unaopunguza muhula wa urais kutoka miaka saba hadi miaka mitano
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29