Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.
Kufuatia Bola Tinubu kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa rais nchini Nigeria, wafuasi wake walishangilia huku nao upinzani ukipinga matokeo hayo.