Radio
06:00 - 06:30
Wafuasi wa haki za mashoga washutumu wabunge Uganda kupiga kura kufanya kuwa kosa la jinai kwa anayejitambulisha hadharani kuwa shoga
Wafuasi wa haki za mashoga wanawashutumu wabunge wa Uganda kwa kupiga kura ili kufanya kuwa kosa la jinai kwa mtu yeyote anayejitambulisha hadharani kuwa ni shoga au wa mapenzi ya jinsia moja.
16:30 - 16:59
19:30 - 19:59
Tanzania imetangaza tahadhari kwa wasafiri kutokana na maambukizi ya virusi vya Marburg
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:30
Ziara ya Makamu Rais wa Marekani Kamala Harris barani Afrika katika kukuza demokrasia, uwezeshaji wa wanawake kiuchumi na usalama wa chakula
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari