Radio
16:30 - 16:59
VOA Express
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
21:00 - 21:29
Baraza la vyombo vya habari Kenya (MCK) lawarai waandishi wanaoripoti maandamano kuzingatia usalama wao
Baraza la vyombo vya habari nchini Kenya (MCK) lawarai waandishi wa habari wanaoripoti matukio ya maandamano nchini humo, kuzingatia usalama wao kwa kushauriana na wahariri kuhusu hatari inayowakabili.