Radio
16:30 - 16:59
19:30 - 20:30
Ziara ya rais wa Ufaransa nchini DRC yazusha mjadala mkubwa katika mgogoro na kudni la M23
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29
Kundi la vijana wa Lucha huko DRC linaendelea kufanya maandamano kupinga ziara ya Jumamosi ya Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.