Radio
16:30 - 17:00
19:30 - 19:59
Rais wa Tanzania Samia Suluhu afanya ziara ya kikazi Afrika Kusini
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29
Athari za mabadiliko ya hali ya hewa ikiwemo kimbunga Freddy huko Malawi kilichopelekea vifo vya zaidi ya watu 300 na uharibifu mwingine
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari