Radio
06:00 - 06:30
Vyama vya upinzani vyaomba serikali ya Congo kujenga jeshi lake kuliko kutegemea mataifa mengine ya kigeni
Vyama vya upinzani vyaomba serikali ya Congo kujenga jeshi lake kuliko kutegemea mataifa mengine ya kigeni.Hii ni baada ya Angola na Afrika Kusini kuweka makubaliano ya ushirikiano wa kiusalama.
19:30 - 19:59
Maandamano yaendelea Ufaransa baada ya bunge kushindwa kupitisha hoja ya kutokua na imani na serikali ya Rais Macron
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.