Radio
06:00 - 06:30
16:30 - 17:00
Vijana wa kundi la Lucha huko mashariki mwa DRC wanaandamana kupinga ziara ya Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron nchini DRC
Vijana wa kundi la Lucha huko Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) wanadai Ufaransa ipo nyuma ya mzozo wa mashariki mwa DRC ambapo kundi la waasi la M23 linafanya mashambulizi huko
19:30 - 20:00
Rais wa Kenya William Ruto amepuuza uamuzi wa Mahakama ya Juu Kenya kuruhusu usajili wa mashirika ya mashoga Kenya anasema hilo haliwezekani
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron afanya ziara katika nchi za Afrika ya kati huku hisia dhidi ya nchi yake ikizidi kuongezeka barani Afrika
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.