Radio
VOA Express
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
Vyams sita vya kisiasa Kenya vyaungana na chama tawala
Vyama sita vya kisiasa nchini Kenya vyatangaza azma ya kujiunga na chama kikuu cha muungano uanaotawala, cha UDA, huku utawala wa Rais William Ruto ukishutumiwa kwamba unatumia mbinu zinazokiuka maadili ya demokrasia, kudhoofisha upinzani nchini humo.
Uzalishaji wa kutosha wa chakula na bidhaa nyingine msingi, njia ya kukabiliana na mfumko wa bei Afrika mashariki-Mchambuzi wa uchumi
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.