Radio
06:00 - 06:29
Rapa wa Afrika Kusini Costa Titch alifariki dunia akiwa jukwaani alipokuwa akitumbuiza, polisi waeleza
Rapa wa Afrika Kusini Costa Titch alifariki dunia akiwa jukwaani alipokuwa akitumbuiza, polisi walisema Jumapili, walipofungua uchunguzi kuhusu mazingira ya kifo cha ghafla cha kijana huyo mwenye umri wa miaka 28.
16:30 - 17:00
19:30 - 19:59
Rais wa Kenya William Ruto apuuzia maandamano ya upinzani yanayoongozwa na Raila Odinga
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29
Uhaba wa dola za Marekani nchini Kenya waendelea kuzua hisia mseto kutoka kwa wachumi
Shilingi ya Kenya imeshuka thamani zaidi wiki hii, dhidi ya dola ya Marekani, na sasa inabadilishwa kwa zaidi ya dola 130, huku kukiwa na upungufu mkubwa wa dola za Marekani, unaoelezwa na wataalam kama unaoendelea kuathiri uchumi wa nchi hiyo, na hata uwezo wake wa kulipa mikopo ya kimataifa.