Radio
06:00 - 06:30
16:30 - 16:59
Viongozi wa mataifa maskini zaidi duniani wazungumzia mzigo mkubwa wa ukosefu wa nafasi za ajira kwa vijana
Viongozi kutoka mataifa maskini zaidi duniani wameeleza masikitiko yao katika mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu jinsi nchi zao zinavyotendewa na nchi tajiri, ambazo zinasema zimesababisha kutokuwepoo nafasi za kutosha za ajira kwa vijana.
19:30 - 19:59
Wafanyabiashara wa Rwanda na Tanzania wajadili changamoto zinazowakabili katika mkutano wao mjini Kigali
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29
Marekani yaadhimisha miaka 58 tangu umwagikaji damu kufanyika mjini Selma, Alabama
Maadhimisho ya miaka 58 ya maandamano yaliyosababisha umwagikaji damu hapo mwaka wa 1965, katika siku iliyokuja kujulikana kama “Bloody Sunday” yalifanyika Jumapili katika mji wa Selma, Alabama, wakati ambapo Rais Joe Biden anakabiliwa na ukosoaji kutoka kwa wapiga kura.