Maadhimisho ya miaka 58 ya maandamano yaliyosababisha umwagikaji damu hapo mwaka wa 1965, katika siku iliyokuja kujulikana kama “Bloody Sunday” yalifanyika Jumapili katika mji wa Selma, Alabama, wakati ambapo Rais Joe Biden anakabiliwa na ukosoaji kutoka kwa wapiga kura.