Radio
16:30 - 16:59
Nini matarajio ya vijana kwa serikali mpya ya DRC?
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
19:30 - 20:29
Ukosefu wa maji na ukame katika eneo lako ni jukumu la kila mtu kuhakikisha vyanzo vya maji na mazingira vinalindwa vyema na kuheshimiwa
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo
21:00 - 21:29
Jukwaa la wanahabari limeangazia mlipuko wa Marburg Tanzania, sheria inayoadhibu wapenzi wa jinsia moja Uganda, na maandamano nchini Kenya
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.