Radio
19:30 - 20:29
Kipindi cha Live Talk kuhusu usafiri wa anga pamoja na washika dau kwenye sekta hiyo. Changamoto pamoja na mema wanayopitia.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29
Meza ya Waandishi: Waandishi waangazia taarifa zilizogonga vichwa vya habari wiki hii
Meza ya Waandishi: Waandishi wanaangazia kwa kina taarifa zilizogonga vichwa vya habari wiki hii zikiwa ni pamoja na Ziara ya Makamu Rais wa Marekani Kamala Harris barani Afrika, kufunguliwa mashtaka dhidi ya rais wa zamani wa Marekani Donald Trump na Maandamano yanayoongozwa na upinzani Kenya.