Radio
19:30 - 19:59
Sera ya Marekani kwa Afrika imeangaziwa kwenye mkutano wa Yali mjini Washington ikimulika usalama, utawala bora na teknolojia
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29
Mkutano wa kilele wa YALI kuhusu sera ya Marekani na Afrika wafanyika mjini Washington DC.
Wizara ya mambo ya nje ya Marekani imeandaa Mkutano wa Mandela Washington Fellowship kuanzia Julai 31 hadi Agosti 2 katika Hoteli ya Omni Shoreham Washington, D.C. Mkutano huu unakutanisha viongozi vijana takriban 700 kutoka bara la Afrika