Radio
19:30 - 19:59
Wadau wa elimu Afrika wakutana Nairobi “Kutathmini viwango vya utahini wa elimu kwa ajili ya kulea uwezo wa kila mwanafunzi”
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.