Radio
06:00 - 06:29
Mnangagwa amtaka Chamisa kuwasilisha changamoto mahakamani iwapo hajatosheka na matokeo ya uchaguzi
Kufuatia Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa kutangazwa mshindi wa uchaguzi ulioibua utata, kiongozi wa upinzani alishutumu tume ya uchaguzi kwa kile alichopkiita udanganyifu mkubwa, huku Mnangagwa akimtaka aende mahakamani kupinga matokeo hayo.
19:30 - 19:59
Marekani inaadhimisha miaka 60 tangu hotuba ya kusisimua ulimwengu ya I have a Dream kutoka mtetezi wa haki za kiraia Martin Luther King Jr.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.