Radio
19:30 - 20:00
Kiongozi wa kundi la kijeshi lililofanya mapinduzi ya Niger atoa hotuba kwa mara ya kwanza
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:30
Rais wa zamani Marekani Donald Trump anatarajiwa kufikishwa mahakamani Alhamis mjini Washington kwa makosa manne ya uhalifu
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.