Radio
06:00 - 06:29
Wasiwasi watanda Zimbabwe huku jumuiya ya kimataifa ikisihi upinzani na serikali kusuluhisha mzozo wa uchaguzi kwa amani
Wasiwasi umeendele kutanda nchini Zimbabwe baada ya mzozo kuibuka, kufuatia uchaguzi mkuu ambao upinzani unadai uliibwa, wakati jumuiya ya kimataifa ikitoa wito wa usuluhishi wa amani wa mgogoro huo.
16:30 - 16:59
19:30 - 19:59
Wanasayansi na wadau wa afya katika mapambano dhidi ya HIV Kenya wanakutana kupata mbinu bora zaidi za kukabiliana na virusi hivyo
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.